$4.99

Mwongozo Kuhusu Hatua Muhimu za Kuchukua Pindi Maisha Yako Yanapokuwa Hatarini

Buy this

Mwongozo Kuhusu Hatua Muhimu za Kuchukua Pindi Maisha Yako Yanapokuwa Hatarini

$4.99

Tanzania imekumbwa tena na janga la watu kutekwa. Itakumbukwa miaka michache iliyopita, janga hilo lilishamiri sambamba na uwepo wa "Watu Wasiojulikana".

Kitabu hiki kinakupatia mbinu za aina mbili. Kwanza, ni mbinu za kujikinga hata kama hujaona dalili au kutaarifiwa kuwa maisha yako yapo hatarini. Na pili, ni mbinu za kujikinga pindi ukiona dalili au kutaarifiwa kuwa maisha yako yapo hatarini. Kitabu hiki ni kama kinga na silaha kwako.

Kitabu kimeandikwa na mwandishi ambaye, kwa upande mmoja, kitaaluma ni Afisa wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa, na kwa upande mwingine, kimaisha ni mhanga wa maisha yake kuwa hatarini. Ameandika kitabu hiki kwa "angles" hizi mbili: kama mtendaji nakama mhanga.

Hutojilauu kununua kitabu hiki

Buy this
Copy product URL
30-day money back guarantee